choice unayotaka wewe ni moja au sijaelewa,,,,Nijaze zote kivipi??..mimi nasema nina choice moja tu
Wakuu nilikuwa namfanyia dogo application UDOM,sasa kwenye zile three choices naona kama wanataka nijaze zote,mimi nataka nimuombe moja tu..nifanyaje hapa wakuu??
nimekuuelewa mkuu kwanini huangaike na plan B na C wakati wewe unataka plan A,,,Mkuu katika maisha Plan A ikifeli unaangalia Plan B na yenyewe ikifeli basi lazima utakomaa na Plan C sasa ww inaonekana umekomalia tu PLAN A ndo nyie mwisho wa siku mkikosa round ya kwanza mnaanza kuhaha mpaka mnaishia kuhairisha chuo so kuwa makini kijana....
Nimekupata mkuuKwa system ya sasa hivi (maombi directly chuoni) unaweza kujaza 3 as long as ile unayoitaka inakuwa namba ONE. Ukichaguliwa namba 2 au 3 ina maana umekosa namba one na sio lazima uende ukasome hiyo. Ukijaza na vyuo vingine inakuwa bomba zaidi.
Zingine jaza kukamilisha masharti yaoNijaze zote kivipi??..mimi nasema nina choice moja tu
Sasa kilichobaki ni dua ili aweze kupata nafasi.Poa mkuu,,nimefanya hivyo nimekamilisha mchongo
PCB imekuwa ngumu sana one ya 7 na bado kupata first round mtiti..Sasa kilichobaki ni dua ili aweze kupata nafasi.
Mwaka jana dogo langu alipata changamoto sana ya kupata nafasi japo alikuwa na ufaulu mzuri(One point 7- PCB).
Alikuja kupata nafasi kwa awamu ya pili ya App kwa kozi ya Nursing ambapo alitaka MD, ila baadae alikuja kufanikiwa kubadili kwenda MD.
App ya awamu ya 2 nilikuja kumfanyia UDOM baada ya kukosa nafasi awamu ya kwanza ya App MUHAS, UDOM, KCMC. Masharti ya Udom yalikuwa kama hayo uliyoyakuta sasa.
One ya saba alikosa nafasi kcmc ?Sasa kilichobaki ni dua ili aweze kupata nafasi.
Mwaka jana dogo langu alipata changamoto sana ya kupata nafasi japo alikuwa na ufaulu mzuri(One point 7- PCB).
Alikuja kupata nafasi kwa awamu ya pili ya App kwa kozi ya Nursing ambapo alitaka MD, ila baadae alikuja kufanikiwa kubadili kwenda MD.
App ya awamu ya 2 nilikuja kumfanyia UDOM baada ya kukosa nafasi awamu ya kwanza ya App MUHAS, UDOM, KCMC. Masharti ya Udom yalikuwa kama hayo uliyoyakuta sasa.
Round ya kwanza alikosa, akaja kapata round ya pili.One ya saba alikosa nafasi kcmc ?
Ushindani umekuwa mkubwaPCB imekuwa ngumu sana one ya 7 na bado kupata first round mtiti..
Kweli aisee,ishu ni dua tu ili achaguliwe..
Round ya kwanza alikosa, akaja kapata round ya pili.
Kwa MUHAS walisema alichelewa kuapply, wakachagua watu wa mwanzo wenye sifa ambao walifit idadi wanayoihitaji. Kwa hiyo yeye akatemwa.
Ndio hivyo, mimi ndio nilimfanyia kabisa yaani wiki ya kwanza walipotangaza tu.Anhaa kumbe alichelewa kuna dogo kapata ya nane tumeomba vyuo vyote vya serikali na bugando