Msaada: Application form was not submitted

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu amechaguliwa Mkwawa bachelor of science in Education ila mkopo hakupata!
Nilivyoangalia sababu ni kuwa form yake haikuwa submitted huko loarnboard!
Kumbe huyo dogo alivyopangwa jeshi alimwachia mzee wake ampelekee ile form posta ila nilivyomuuliza mzee wake leo akaniambia yeye aliipeleka internet(hapa sijamuelewa kwa kweli) kisha akarudi nayo nyumbani so form mpaka sasa hivi anayo na imesainiwa na kila kitu kinachohitajika tayari kipo ila ndo hivo haikwenda loarnbord!
Naombeni msaada kwa anayejua huyu dogo akienda loarnboard na hii form na cheti cha JKT aeleze uhalisia kwamba mzee hakujua inakuwaje na dogo alitakiwa kwenda JKT ataeleweka? Ukizingatia kozi yake ni PRIORITY?
 
mkuu hapo imeshatoka hiyo, hawawez mconsider tena hapo mshua abebe mzigo wa board
 
Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu amechaguliwa Mkwawa bachelor of science in Education ila mkopo hakupata!
Nilivyoangalia sababu ni kuwa form yake haikuwa submitted huko loarnboard!
Kumbe huyo dogo alivyopangwa jeshi alimwachia mzee wake ampelekee ile form posta ila nilivyomuuliza mzee wake leo akaniambia yeye aliipeleka internet(hapa sijamuelewa kwa kweli) kisha akarudi nayo nyumbani so form mpaka sasa hivi anayo na imesainiwa na kila kitu kinachohitajika tayari kipo ila ndo hivo haikwenda loarnbord!
Naombeni msaada kwa anayejua huyu dogo akienda loarnboard na hii form na cheti cha JKT aeleze uhalisia kwamba mzee hakujua inakuwaje na dogo alitakiwa kwenda JKT ataeleweka? Ukizingatia kozi yake ni PRIORITY?

ishakula kwake.
Kunamdogo alichaguliwa B.Sc. Education pale UDSM, bahati mbaya akakosa mkopo kwa sababu hakufanya aplication. Bodi ya mikopo walimwambia aahirishe mwaka.
 
Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu amechaguliwa Mkwawa bachelor of science in Education ila mkopo hakupata!
Nilivyoangalia sababu ni kuwa form yake haikuwa submitted huko loarnboard!
Kumbe huyo dogo alivyopangwa jeshi alimwachia mzee wake ampelekee ile form posta ila nilivyomuuliza mzee wake leo akaniambia yeye aliipeleka internet(hapa sijamuelewa kwa kweli) kisha akarudi nayo nyumbani so form mpaka sasa hivi anayo na imesainiwa na kila kitu kinachohitajika tayari kipo ila ndo hivo haikwenda loarnbord!
Naombeni msaada kwa anayejua huyu dogo akienda loarnboard na hii form na cheti cha JKT aeleze uhalisia kwamba mzee hakujua inakuwaje na dogo alitakiwa kwenda JKT ataeleweka? Ukizingatia kozi yake ni PRIORITY?

Kwakua alifanya application online, bila shaka taarifa zake ziko OLAS.
Angejaribu kwenda HESLB kujaribu bahati yake!
 
Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu amechaguliwa Mkwawa bachelor of science in Education ila mkopo hakupata!
Nilivyoangalia sababu ni kuwa form yake haikuwa submitted huko loarnboard!
Kumbe huyo dogo alivyopangwa jeshi alimwachia mzee wake ampelekee ile form posta ila nilivyomuuliza mzee wake leo akaniambia yeye aliipeleka internet(hapa sijamuelewa kwa kweli) kisha akarudi nayo nyumbani so form mpaka sasa hivi anayo na imesainiwa na kila kitu kinachohitajika tayari kipo ila ndo hivo haikwenda loarnbord!
Naombeni msaada kwa anayejua huyu dogo akienda loarnboard na hii form na cheti cha JKT aeleze uhalisia kwamba mzee hakujua inakuwaje na dogo alitakiwa kwenda JKT ataeleweka? Ukizingatia kozi yake ni PRIORITY?

haaaaaahaaaaa nimecheka sana hii thread kwamba mzee aliipeleka form INTERNET teh teh teh
 
Aende nayo hiyo fomu sasa hivi, anapata mkopo ila pesa kidogo afanye fasta huyo kuna issue km hizo nyeti usiwe muongo mie juzi kati kuna issue fulani imesoviwa vizuri tu na mpka sikuamini imewezekanaje, wale ni binadamu kwa hiyo usifungiwe nira na wapotoshaji, unapokumbwa na tatizo simama kwa miguu yako tatua acha kusubiri uzoefu wa wengine.
 
HIVI mwailewaje hii quote "budget exhausted"????? it can simply stated like that..,sory u'r loan application form was sucessfully submitted but u ar nt allocated loan due to lack of enough fund..so nyie mdanganyieni mwenzenu achome nauli hadi samu namjouna street afu akatoke kapa
 
Jamani mimi mwenyewe naomba msaada wa kimawazo, kuna dogo naye ana kesi kama hii "loan application form was not submited" lakini alituma kwa njia ya EMS na risti anazo, mkopo hajapata naomba mawazo yenu ili tuweze kumsaidia huyu dogo maana ameishakata tamaa ya kuacha chuo ili aaply mwakani kwa sababu wazazi wake hawana uwezo wa kumlipia ada.
 
Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu amechaguliwa Mkwawa bachelor of science in Education ila mkopo hakupata!
Nilivyoangalia sababu ni kuwa form yake haikuwa submitted huko loarnboard!
Kumbe huyo dogo alivyopangwa jeshi alimwachia mzee wake ampelekee ile form posta ila nilivyomuuliza mzee wake leo akaniambia yeye aliipeleka internet(hapa sijamuelewa kwa kweli) kisha akarudi nayo nyumbani so form mpaka sasa hivi anayo na imesainiwa na kila kitu kinachohitajika tayari kipo ila ndo hivo haikwenda loarnbord!
Naombeni msaada kwa anayejua huyu dogo akienda loarnboard na hii form na cheti cha JKT aeleze uhalisia kwamba mzee hakujua inakuwaje na dogo alitakiwa kwenda JKT ataeleweka? Ukizingatia kozi yake ni PRIORITY?
daaaah kazi kweli kweli!!Bodi hawawezi msaidia aisee tuseme kweli tu coz wale jamaa ni wazandiki sana ajilipie huu mwaka then mwakani aombe tena tu
 
Jamani mimi mwenyewe naomba msaada wa kimawazo, kuna dogo naye ana kesi kama hii "loan application form was not submited" lakini alituma kwa njia ya EMS na risti anazo, mkopo hajapata naomba mawazo yenu ili tuweze kumsaidia huyu dogo maana ameishakata tamaa ya kuacha chuo ili aaply mwakani kwa sababu wazazi wake hawana uwezo wa kumlipia ada.
aende bodi na hizo documents zote na copy ya form za mikopo watamsaidia
 
haaaaaahaaaaa nimecheka sana hii thread kwamba mzee aliipeleka form INTERNET teh teh teh

alijazia fomu internet cafe na baada ya ku print wakamkabidhi ili apeleke posta - sasa yeye kwa kutojua baada ya kuzizungusha kwa wahusika na kupata sahihi zao akakaa na fomu nyumbani akifikiri cafe itawasilisha taarifa walizokuwa wanaingiza kwenye system.

asikatishwe tamaa procedure zote kaishafanya na yupo kwenye priority -ajaribu bahati huenda budget ikaongezwa na akafanikiwa. vinginevyo ni mpaka mwakani na 30,000/= ndo imeenda

HAPANA KUKATA TAMAA
 
Jamani mimi mwenyewe naomba msaada wa kimawazo, kuna dogo naye ana kesi kama hii "loan application form was not submited" lakini alituma kwa njia ya EMS na risti anazo, mkopo hajapata naomba mawazo yenu ili tuweze kumsaidia huyu dogo maana ameishakata tamaa ya kuacha chuo ili aaply mwakani kwa sababu wazazi wake hawana uwezo wa kumlipia ada.

Mfike ofisi zilipo Mwenge yote hayo yanatatulika acheni kukaa home funga safari njoo jijini utafte haki zako ujue nchi inaendaje usibaki kusoma comments na kumezea watz tuache woga tafadhali
 
HIVI mwailewaje hii quote "budget exhausted"????? it can simply stated like that..,sory u'r loan application form was sucessfully submitted but u ar nt allocated loan due to lack of enough fund..so nyie mdanganyieni mwenzenu achome nauli hadi samu namjouna street afu akatoke kapa

Mkuu inaokena wewe umesoma enzi za Mwaslimu hili vuguvugu la maisha walakumbana nalo wanao kizazi kijacho, iweni na huruma basi
 
Mfike ofisi zilipo Mwenge yote hayo yanatatulika acheni kukaa home funga safari njoo jijini utafte haki zako ujue nchi inaendaje usibaki kusoma comments na kumezea watz tuache woga tafadhali

Asante pia kwa mawazo yako
 
Huyo dogo alietumu kwa njia ya EMS aende na risiti ambayo alipewa pale ems atasikilizwa! Kiukweli bod haiishiwi kabisa maana still kuna watu wanakatwa kila siku pesa ambazo walokopa! Kwa hio anaweza kusikilizwa
 
Ila hio ambayo ilipelekwa internent kuna tatizo kidogo! Binafsi namshairi huyo kijana kama kunauwezo kidogo aende chuo then baadae a apeal atapata ila kwa sasa akienda board watamkatisha tamaa kabisaa maana wale jamaa wanamajibu ya ajabu sana amboyo huwezi kutegemea kabisaa!
 
Huyo dogo alietumu kwa njia ya EMS aende na risiti ambayo alipewa pale ems atasikilizwa! Kiukweli bod haiishiwi kabisa maana still kuna watu wanakatwa kila siku pesa ambazo walokopa! Kwa hio anaweza kusikilizwa

Thanks mkuu
 
Back
Top Bottom