Msaada app ya vlc ya anroid plz

Msaada app ya vlc ya anroid plz

Bany

Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
13
Reaction score
1
Nimedownload VLB Beta ila nilipoifungua inanipa warning ambayo ikanifanya nisite kuitumia. Kujaribu VLC nyingine ikanipa same warning, na warning zenyewe ni
*This version is not stable
*Do not use it unless you know what your doing
*It might kill your kitten and destroy your house
*Use it at your own risk
Je hii application nan amewah kuitumia? Is it safe? If not app gan ni nzuri? Msaada tafadhal
 
kaka unajua mchezaji akiwa mzuri arsenal sio lazima akienda madrid nako akawe mzuri vile vile, vlc ya android si nzuri kaka nimeitumia ya kawaida sana sometime inacrash ina matatizo mengi.

kama unataka player nzuri ya android download mxplayer hii ndio best kwenye android inakubali codec nyingi na subtitle pia
 
Naam, umenena vyema mkuu.
 
Back
Top Bottom