Wataalam
Nimebadilisha jina la server from Localhost nimeweka IP address, pot nimeacha ile ile default 80, lakini hola. Nimefanya marekebisho kwenye <Directory ya wamp/www> nikaweka Allow from all lakini hola.
Naombeni Msaada jamani
Asanteni
Mkuu nakushauri ukielze tatizo la kitaalam tena pale wale unaowalezea wako remote jaribu kutoa maelezo yenye msaada. Ndiyo hapo mwisho utaishiwa kupewa majibu ya bahati nasibu.
Vile vile jaribu kudisable firewall setting kwenye server uone kama bado itagoma. Au kwenye firewall setting ya server weka rule ya kuruhusu connection setting kutoka pC nyingine
- Mkuuu Sasa ukisema hola ina maana hiyo holla ndio error meesage client anapata akitaka kuacess server????
Kujua firewall seeting na rule za wamp server tembela forum ya wamp server - PHP, Apache, MySQL, Windows : WampServer
yah kwa kudesa kwenye forum ya wampMkuu Naposema hola I just mean kwamba Connection inakataa na message inayokuja inaonesha kwamba cannot find the server, ngoja nijaribu ushauri wako then I will come back
Thanx
Nashukuru wandugu kwa Michango yenu maana nilifanikosha kazi yangu na Mungu awabiriki sana
Albedo unaweza kushare nasi sasa ulifanikisha vipi ili tuelimike nini kilifanikisha ili tuweke kwenye kumbukumbu . na tukikutana tatizo kama hilo tusianze kubahatisha bahatisha
1. Nilibadilisha machine badala ya kuhost kwenye windows 7 nikahost kwenye Windows XP ambayo kwangu imekuwa rahisi sana kuconfigure Firewall ikiwa ni pamoja na kuadd port. Windows 7 imenisumbua kidogo na ninaona kama haiko user friend
2. Default port ya Apache ni 80. Bahati mbaya katika computer yangu kuna skype ambayo na yenyewe inatumia port 80 kwa hiyo skype ikianza tu kabla ya Apache basi apache inanyimwa access. Kitu nilichokifanya ni kuifanya Apache ianze automatically during startup kwa hiyo skye ikiwaka inakuta Apache tayari imeshaocupy port 80
3. Kwenye apache config file, default setting za <Directory> zilisema Denny from all, nikabadilisha nikasema All from all
Asanteni sana
Ingawa bado nina challenge moja. IP address zetu ni dyanimic allocated sasa kila siku inabidi nibadilishe Host Name kulingana na IP ambayo Server PC imekuwa alocated that day. Nimejaribu ku extend IP Lease time kwa siku 7 lakini inajireset inakuwa siku moja
Thank mkuu mkubwa sana nimeelia hapo
Lakini kwani kwenye dyanamic IP configuration si kuna option ya ku set IP fulani zibaki kuwa static. Hiyo option ipo kwenye router na DHCP configuration nyingi ili kuwezesha server ziendele umatin IP zake na kuondoa usumbufu.
So cheki vizuri DHCP configuration yako kwenye router . I hope hapo setting zote za DHCP kwa case yako ndipo zilipo.Au google aina ya router unayotumia ujue jinsi ya kuichakachua . Nina uhakika kuna option hiyo ya kufanya baadhi ya ip ziwe static.