Msaada anipe shule anaejua hivi vidude

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Wakuu siku hizi bidhaa nyingi zinakua na sehemu yakuscan (naweka picha muone) sasa najiuliza hii kaI yake nini?
Mfano hapa nimenunua sub woofer nimekuta kwenye box hiyo,pia naviona sana mf.kwenye box la mashine ya kunyolea nimekiona pia.Nakuja kwenu kwa anaejua hebu anipe shule kidogo nielewe,nisije achwa na tech.
IMG_20190806_222559_995.jpeg
 
Hongera kwa kununua subwoofer mzee
Hiyo ni QR CODE AU BAR CODE ipo kwa ajili ya kuhifadhi taarifa ya kitu au hudumu fulani
 
ni code yenye taarifa kuhusu kilichomo ndani ya hilo box.
Nb: usikalili hivyo, maana taarifa nyingi tu zinaweza hifadhiwa kwa mfumo kwa QR code. Zimasomwa kwa kutumia QR scanner nazo pia zipo za aina tofauti tofauti kulingana na matumizi, nyingine hata simu(smart) inaweza kusoma ikiwa na builtin scanner au ya ku-download
 
Taarifa za kilichomo ndani ndio zilizopo hapo. Mfano kitambulisho cha mpiga kura nacho kina code ukiiskani unapata taarifa zote za mhusika. Vile vile kwenye vifungashio vya bidhaa za vyakula vilivyo supermarkets hubeba taarifa na bei ya kitu husika.
 
Hongera kwa kununua subwoofer mzee
Hiyo ni QR CODE AU BAR CODE ipo kwa ajili ya kuhifadhi taarifa ya kitu au hudumu fulani
Taarifa za kilichomo ndani ndio zilizopo hapo. Mfano kitambulisho cha mpiga kura nacho kina code ukiiskani unapata taarifa zote za mhusika. Vile vile kwenye vifungashio vya bidhaa za vyakula vilivyo supermarkets hubeba taarifa na bei ya kitu husika.
ni code yenye taarifa kuhusu kilichomo ndani ya hilo box.
Nb: usikalili hivyo, maana taarifa nyingi tu zinaweza hifadhiwa kwa mfumo kwa QR code. Zimasomwa kwa kutumia QR scanner nazo pia zipo za aina tofauti tofauti kulingana na matumizi, nyingine hata simu(smart) inaweza kusoma ikiwa na builtin scanner au ya ku-download
Wakuu siku hizi bidhaa nyingi zinakua na sehemu yakuscan (naweka picha muone) sasa najiuliza hii kaI yake nini?
Mfano hapa nimenunua sub woofer nimekuta kwenye box hiyo,pia naviona sana mf.kwenye box la mashine ya kunyolea nimekiona pia.Nakuja kwenu kwa anaejua hebu anipe shule kidogo nielewe,nisije achwa na tech.View attachment 1174102
CASE SOLVED AU HUJAELEWA TUONGEZE SAUTI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom