Msaada android phones kwa whatsapp

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
jamani naomba mnisaidi kama kila simu ya android inakubali whatsapp, mana nataka kununua na haswa nataka Samsung Gt5570
msaada wenu plz.
 
hii ina suport bila waswas nafkir pia n androids nyng zna suport...
 
jamani naomba mnisaidi kama kila simu ya android inakubali whatsapp, mana nataka kununua na haswa nataka Samsung Gt5570
msaada wenu plz.
Inakubali....kanunue tu.
 
poa thanx wakuu, na bei zake zaendaje?
 
jamani naomba mnisaidi kama kila simu ya android inakubali whatsapp, mana nataka kununua na haswa nataka Samsung Gt5570
msaada wenu plz.

simu za android zinakubali whatsapp, yangu hii hapa chini

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ