Nenda file manager itafute hiyo nyimbo itume ukiwa huko...not from the player!!
unatuma ukiwa kwenye player au file manager au wapi?
Android na galaxy ni ip 4n nzuri zaid?bei zake zinaendaje?
hata kwenye player anaweza kutuma, akiwa anausikiliza kwny player, abofye menu kisha achague kushare, kisha bluetooth
Updates zinakujaga zenyewe so we subiri tu,kaka ni vp nnaweza kuupgrade fyoyo kwenda gingerbird???
Mh hata galaxy ni android as inatumia technology ya android,Android na galaxy ni ip 4n nzuri zaid?bei zake zinaendaje?
Jama android imenishinda kurusha nyimbo kwa kutumia broototh kwasab katika music naona optiotion za kuplay tu! Msaada plz
Android na galaxy ni ip 4n nzuri zaid?bei zake zinaendaje?