Msaada Android na kushare nyimbo!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Jama android imenishinda kurusha nyimbo kwa kutumia broototh kwasab katika music naona optiotion za kuplay tu! Msaada plz
 
kama ni galaxy nenda my file na itafute nyimbo na utatuma kwa ku click option
 
unatuma ukiwa kwenye player au file manager au wapi?
 
Nenda file manager itafute hiyo nyimbo itume ukiwa huko...not from the player!!
 
Nenda file manager itafute hiyo nyimbo itume ukiwa huko...not from the player!!

hata kwenye player anaweza kutuma, akiwa anausikiliza kwny player, abofye menu kisha achague kushare, kisha bluetooth
 
oxlade inategemea na specs za simu yako, ila inawezekasna maana mie nili upgrade kutoka froyo mpk ice cream sandwich
 
Last edited by a moderator:
Android na galaxy ni ip 4n nzuri zaid?bei zake zinaendaje?

Hakuna simu inayoitwa androids.... Androids n operating system ya simu (kama computer ulizowah ku2mia znavyotumia windows... Au os yoyote ile) na samsung galaxy znatumia hyo androids.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom