msaada android bila ya play store

Android pia unazipata siftwares almost zote za Android ingawa hii inatumia lugha ya kichina lakini ni user friend kuitumia
 

Shukrani kwa ushauri #Abloodi , ntajaribu japo sio mjuzi sana wa haya mambo. Tatizo ninaloliona ni kuwa ntashindwa kudownload App ya kufanyia backup mkuu(Play Store haifunguki), labda nijaribu kwa kutumia Opera kama alivoshauri Mkwawa. Yakinishinda ntawapelekea wajuzi wa hivi vitu.
 

ukieka line ya voda automatic inaji activate wap (badala ya internet) ndio maana umepata hilo tatizo. opera na whatsapp wanakubali wap ila service za google hazikubali kusolve hilo tatizo inabidi utengeneze apn (access point name) ya internet

bonyeza menu then setting then kwenye wireless and network nenda mobile networks kisha click click apn

utaona kuna voda wap na mms bonyeza button ya menu chagua new apn
kwenye connection name andika chochote
kwenye apn andika internet

turn back then activate setting zako ur done
 
kicha Kuna baadhi ya simu badala ya kuwa playstore inakuwa MARKET hadi ifanye update
 
Last edited by a moderator:
Maranyingi simu zisizokuwa na playstore n maalumu kwaajili ya kutumua china. Inakuwa haina playstore wala gmail chakufanya download kwakutumia browser utapata aplication unayoitaka na itafanya kazi.

ndea nijuavyo mimi kama simu ya android ni kwa ajili ya matumizi ya China, basi huwekwa App Center, ili mtu aweze kupata benefit zinazofanana na play store.
 
Last edited by a moderator:
ndea nijuavyo mimi kama simu ya android ni kwa ajili ya matumizi ya China, basi huwekwa App Center, ili mtu aweze kupata benefit zinazofanana na play store.

Ila tatizo la hii app center ipo katika lugha ya kichina
 
Last edited by a moderator:

Shukrani nyingi sana zikufikie mkuu #Chief-Mkwawa . Ni kweli ilikuwa kwenye WAP, nimefuata hizo hatua ulizoelekeza. Tatizo limetatuliwa, na comment hii nimeiandika kupiti Internet(ilokuwa inagoma) not Opera.
Kweli hapa JF pana mambo mazuri

cc ndg #Abloodi .
 

Nimekutana na kichina yaani sijajua wapi wananimbia download na wapi wananimbia cancel!
 

Umetisha mzee! !
 
Mm Kudownload App From Playstore N marachache sanaaaa!!! Nenda Google Mfano Unataka Instagram Andika Instagram.apk utaletewa Sehem za kudownload app hyooo. Ila Lazma u alow app from unknown source ...


Do it for ur own risk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…