Msaada: Android application ya kutuma sms for free

Msaada: Android application ya kutuma sms for free

JambaziSugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
245
Reaction score
210
Habari wakuu.. Naomba kufahamu android application ya kutuma sms bure kwa mtu yeyote hata yule asiye na hiyo application au asiye na smartphone kabisa.
 
Aiseeee!! Mkuu hio kitu ngumu kidogo, sidhani kama kuna app hizo, hata zikiwepo unapewa free trial kama 50 sms baada ya hapo kulipia
 
Ilikuwa jaxtrsm ilikuwa inafanya kaza kwa symbians mobile phone.. ila kwa adroid ni ngumu kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom