nenda dogo iko poa!kwn comb gn?pcb,cbg na pcm ndio nilizoziacha 2010 pale!ila juhudi binafsi zinahitajika sana ili kufaulu,lkn mzingira yanafevour coz ipo krb na town,namapindi kitaa kama kawa,kunamchizi m1 anaitwa ishu boy kwa chemistry a-level mzr!masiku physics yuko poaaaaa!ukifika kakae bweni latembo karibu naparade,uwanjani,DH,namadarasani!hongera kijana kakomae watu tumetoka vzr naza6 zetu pcb!