Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,527 Reaction score 3,345 Feb 3, 2014 #1 Habari wadau wenzangu. Jamani nauliza hivi mada za humu huwa zinakaa muda gani? Maana kuna thead zingine za tokea mwaka jana zipo, mfano nafasi za kazi za tarehe zilizopita bado zipo hadi leo. Sasa kunautaratibu gani wa kuzitoa?
Habari wadau wenzangu. Jamani nauliza hivi mada za humu huwa zinakaa muda gani? Maana kuna thead zingine za tokea mwaka jana zipo, mfano nafasi za kazi za tarehe zilizopita bado zipo hadi leo. Sasa kunautaratibu gani wa kuzitoa?