Nimsaidiaje huyu dada?
Hakuchaguliwa mara ya kwanza ila sasa anataka abadilishe course ya kusomea. Hajui asome nini na alisoma Arts O-level matokeo 4 ya 28 halafu leo mwisho.
Nimsaidiaje uyu Dada.hakuchaguliwa mala ya kwanza ila now anataka abadilixhe course ya kusomea ajui asome nini alisoma arts olevel matokeo 4 ya 28 afu Leo mwixho