Msaada: Anatafuta nyumba ya kupanga

Msaada: Anatafuta nyumba ya kupanga

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Wandugu naomba niweke wazi kuwa kuna mtu anatafuta nyumba ya kupanga ndani ya wilaya Kinondoni iwe ni self container isiwe uswahilini.

Piga0755103405
 
taja bajeti yako? vp maeneo ya kimara suka,gari hadi ndani,maji,umeme upo,vyumba viwili moja master,sebule jiko,lutku yako pekee ,km upo ready ni pm
 
mimi pia natafuta nyumba ya kupanga,budget tshs. 350,000 kwa mwezi.... maeneo ya survery,makongo juu,mwenge,... iwe na vyumba viwili vya kulala na master,iwe self contained... yaani ndani ya geti alone.... gari ilale ndani.
 
Hili jukwaa limeingia Trojan horse 🐴 au hizo nyumba zinazotafutwa ni za Android??
 
Wandugu naomba niweke wazi kuwa kuna mtu anatafuta nyumba ya kupanga ndani ya wilaya kinondoni iwe ni self container isiwe uswahilini
Piga0755103405

Masaki apartment kibao zipo wazi zinapangishwa wala huna haja ya kuleta tangazo hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom