Msaada: Anahitajika agent wa clearing and forwarding

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
254
Habari zenu wanajamvi, kuna mzigo upo Swiss port kwa sasa ulikuja kwa Airmail ya Fedex. Nahitaji agent wa ku clear mzigo huo. Nimeshindwa bei za kuclear na agent wa Fedex. Mzigo ni wa matumizi binafsi ambayo ni laptop pamoja na tablet. Tunaweza wasiliana kwa PM au moja kwa moja kupitia 0673926611.Ila wakuu niulize tu kiswali kidogo kwa wenye uzoefu. Hivi mtu akinunua laptop kwa matumizi binafsi napo anapaswa alipe kodi TRA pamoja na kutafuta wakala maalum wa clearing au pengine si sawa?! Kwa waozefu wa mambo haya naombeni msaada

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Mku umeshafanikiwa kama bado mimi ndo Shughuli zangu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Nishafanikisha wana jamvi ilq nawashukuru kwa ushirikiano. Nimepata kuwafahamu agents wengine, huenda tukaja kufanha kazi hapo mbeleni. Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom