Msaada: Anafahamu tatizo hili.

Msaada: Anafahamu tatizo hili.

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,438
Mwenye kufahamu tiba ya hii kitu asaidie wadau.

Huu ni ugonjwa ambao husumbua sana kwenye migomba na baadhi ya miti.

Tafwa.jpg
 
Mwenye kufahamu tiba ya hii kitu asaidie wadau.

Huu ni ugonjwa ambao husumbua sana kwenye migomba na baadhi ya miti.

Tafwa.jpg
Sumu kuvu ya ardhi /udongo.
Chimbua shina lote wacha wazi hilo shimo jaza takataka (kama kuna uwezekano chomea huko huko )mwaga majivu na mbolea ya nyasi au mifugo funika kwa udongo mwagilia hapo maji kama mwezi hivi alafu panda tena mmea wako.
 
Vipi kuhusu mizizi iliyokuwa na ugonjwa huo(kwa case ya mti) haiwezi kusambaza ugonjwa hata baada ya kufanya hayo?
 
Picha ya mti ulioathirika?

Piga kwenye shina.

Yaweza kuwa Phytophthora. Ukinipa picha naweza kukusaidia.

Post picha ya mti ulioathirika.

#YNWA
 
Picha ya mti ulioathirika?

Piga kwenye shina.

Yaweza kuwa Phytophthora. Ukinipa picha naweza kukusaidia.

Post picha ya mti ulioathirika.

#YNWA
Sipo eneo la tukio kwa sasa.
Lkn waweza kuangalia picha ya mgomba kwenye thread, pengine itakupa mwanga
 
Vipi kuhusu mizizi iliyokuwa na ugonjwa huo(kwa case ya mti) haiwezi kusambaza ugonjwa hata baada ya kufanya hayo?
Mbolea ina virutubisho vinavyoua hiyo asidi kumbuka kama utakuwa umechomea hapo taka taka navyo chembe hembe zinakuwa nimeungua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom