N Neno nalo Member Joined Jun 10, 2013 Posts 67 Reaction score 54 Sep 24, 2013 #1 Salaam! Simu ya blackberry curve imeibiwa punde tu,naomba msaada wa wataalamu au wazoefu jukwaa hili kama kuna njia yoyote ya kuitrace ikapatikana. Natanguliza shukrani.
Salaam! Simu ya blackberry curve imeibiwa punde tu,naomba msaada wa wataalamu au wazoefu jukwaa hili kama kuna njia yoyote ya kuitrace ikapatikana. Natanguliza shukrani.