Msaada: Anadai amezaliwa na UKIMWI ila nimempima anaonekana yupo salama

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,023
3,458
Wakuu Habari

Ni mwezi sasa nikiwa kwenye mahusiano na binti wa miaka 24 tulikutana Arusha kwenye inshu ya kikazi. Tulitokea kuzoeana kiasi kwamba ilifikia hatua akanitambulisha kwa rafiki zake kama mtu anayejali upendo na thamani .

Upendo wangu kwake uliongezeka nilipomuomba awe mpenzi wangu japo mwanzoni aliniletea visababu ila hatimae akafungua moyo wake nikajisweka ndani

Tumeendelea hivyo hivyo mwisho wa siku tuwaka wapenzi wa ukweli ukweli hata marafiki zangu wakamtambua kinoma. Sikuishia hapo tuu, wazo la kuoa liliniijia kichwani. Sikujivunga nilimchana kusudio langu kwake, alinikumbatia sana akasema tokea azaliwe hajawahi kukutana na mwanaume kama mimi. Nilivimba kichwa nikajiona jiwe kwa covid19

Baada ya kazi iliyokuwa imenipeleka huko kuisha, nilirudi Kigoma kuendelea na majukumu yangu ya kila siku, binti tuliendelea kuwasiliana mara nyingi alipiga yeye.

Penzi lilikolea mwisho wa siku shetani naye hakuwa mbali na kichwa changu cha chini alibonga nacho kikaanza kusumbua kuashuria mbususu inahitajika, nilimgusia ilo suala akagoma akidai mpaka nimuoe na tufunge ndoa, sikubisha nilimkubalia kishingo upande

TUJE KWENYE POINTI
*******
Wiki kama mbili zilizopita nilimpigia simu nikihitaji aje anione na apaone napoishi, alinikubalia lakini akaniomba aje week nyingine kulingana na kubanwa na kazi. Nilimwelewa na nikamtakia kazi njema

Hatimae week ya kuja iliwadia, alintext akidai kesho ataanza safari. Nilifurahi kidume kwa sbb niliamini naenda kujisevia vitu vya chumbani kiulainiiiii.

Alifika, nilimpokea sote tulifurahi kukutana kwa mara nyingne tena. Nikampleka home na taratibu za ugeni zikafutaa.

USIKU ULIPOFIKA

Baada ya msosi wa usiku nilimuaga naenda dukan nilimzuga naenda kununua soda kumbe nimeenda kununua vipimo ili nimpime niwe na uhakika wa kitu nachotaka kufanya

Nilirud nikakaa nae mezani tukapiga story nyingi na kukumbushana matukio ya Arusha, nilianza chombezo za mahaba dogo akarespond

Nikamsogelea huku kichwa cha chini kinalipua volcano, nikamshika kiuno akanikumbatia nikapapasa papasa kama dk 3 ivi mtoto hoi. Yesu akanitembelea haraka nikakumbuka vipimo, vilikuwa mfukoni nikavitoa nikaweka mezani

Hakushtuka wala kuweka wasiwasi akaniuliza swal "CELV kwa nn unataka kuwa na papara wakat nilikwambia nitakupa ukinioa"
sikumsikiliza kiivile akili yote iliishia kwenye mbususu yake.

Tulipima wote tukakuta tuko fresh ila aligoma kunipa mchezo, nilichukia kishenzi, alinisisitizia hawezi kunipa na hafikirii kunipa et kama ni kushika nimshike shike koote ila kutoa hatoi.

Kidume nilibadilika, nilisonya wazo la kumfukuza na kumpa nauli usiku ule ule likanijia alijibu vyovyote vile ntakavyoamua sawa tu.

Sikuwa na chaguo sahihi kwa wakati huo, niliwaza nimbake tu nahisi aliligundua hilo. Alivuta pumzi ndefu akasindikiza na maneno ya kuniomba nitulie anielezee kitu,

Aliteta."celv naomba unisamehe kwa yote yameyotea muda mfupi uliopita, nakupenda sana na najua pia unanipenda nisiwe msimuliaji sana ila nakuomba nitakaloliongea usinichukie wala kunivunjia heshima ila mapenz ndo yamenileta huku"

"Mimi kufikia hapa nimeishi kwa malezi ya Shangaz. Simjui baba wala mama, wazaz wangu wote walikufa, nilipeleleza sana nilipokuwa mkubwa niliambiwa wazazi wangu walikufa kwa UKIMWI na mm nilizaliwa nao ila tangu mdogo sikuwah kuacha kumeza dawa kias kwamba mpaka sasahiv naendelea kutumia dawa hali inayopelekea wadudu wasionekane kwenye vipimo. Naomba unisamehe nipo chini ya miguu yako"

Baada ya kunihutubia nilihisi mwili kufa ganzi nilipepesuka nikadondoka chini, nakuja kuzinduka nipo kweny sofa na maji pembeni, akili zinanirudia kumbe paula hakuondoka alibakia pale pale

Bado yupo home tunalala vyumba tofauti, kanambia ntakaloona linanifaa bas hatokuw na jins.
 
Sasa ingekuwa ndo tayari mmeshafunga ndoa ingekuwaje? Maana mara ya kwanza alikunyima sababu aliyotoa ni kuwa hakupi hadi mfunge ndoa, na umeshajipanga kufunga ndoa.

Hana huyo anakunyima tu. USIMBAKE LAKINI!

Funga nae ndoa akwambie samahani nilikudanganya sina ukimwi wala nini, nilitaka tu usubiri
 
Hapana huenda Yuko sahihi,baadhi ya watu ambao wanaishi na Hali hiyo Kama ni wafuasi Wazuri wa dawa Basi uwezekano wa virusi kufubaa na kutoonekana kwenye kipimo upo,kwa hivyo ni vyema kumsikiliza na kuchukua hatua zaidi.
Kumsikiliza kaisha msikiliza swala ni mzigo ukimwi huo aoe awe anapigia rambo au aachane na binti au wagawane vimelea hivyo
 
Hapana huenda Yuko sahihi,baadhi ya watu ambao wanaishi na Hali hiyo Kama ni wafuasi Wazuri wa dawa Basi uwezekano wa virusi kufubaa na kutoonekana kwenye kipimo upo,kwa hivyo ni vyema kumsikiliza na kuchukua hatua zaidi.
Viral load wako chini ndo maana hawaonekani akipima lakin ni HIV positive Yuko sahihi

Ila anaweza kumuoa kwa kufuata masharti ya daktari
 
Huwezi pata mambukizii nishakuwa kwenye uhusiano na demu mwenye ngoma ila ukimpima yupo negative kwa miezi 3 nasugua tu ila hadi leo npo salama na nilikuja kuhakikishiwa anatumia dawa
 
Back
Top Bottom