Msaada: Anadai amezaliwa na UKIMWI ila nimempima anaonekana yupo salama

Nimekutana na same story hapo binti aliezaliwa na ngoma though yeye now ni 21 kwa age.niliomba Tunda ila kila tukipanga miadi anazingua mpaka aliponichana live kazaliwa nao na amelelewa na shangazi take. Sikumuamini mpaka aliponiipa vyeti vyao vya kuchukulia dawa.

Duh nlikuwaga muumini wa kupiga kavu watoto wa geti Kali ambao wengi hawajapima ila now kama mtu amepima na anakula dawa kwa miaka mingi ni salama zaidi kuliko ambaye hajijui wala hajui viral load(idadi ya virusi mwilini) inasoma kiasi gani. Sikuwahi kupanga nitadumu naye ila life proved me i was wrong.
 
Nimekutana na same story hapo binti aliezaliwa na ngoma though yeye now ni 21 kwa age.niliomba Tunda ila kila tukipanga miadi anazingua mpaka aliponichana live kazaliwa nao na amelelewa na shangazi take. Sikumuamini mpaka aliponiipa vyeti vyao vya kuchukulia dawa. Duh nlikuwaga muumini wa kupiga kavu watoto wa geti Kali ambao wengi hawajapima ila now kama mtu amepima na anakula dawa kwa miaka mingi ni salama zaidi kuliko ambaye hajijui wala hajui viral load(idadi ya virusi mwilini) inasoma kiasi gani. Sikuwahi kupanga nitadumu naye ila life proved me i was wrong.
Viral load ikifikia undetectable means hawezi kuambukiza na kavu unakula fresh tu
 
Huwezi pata mambukizii nishakuwa kwenye uhusiano na demu mwenye ngoma ila ukimpima yupo negative kwa miezi 3 nasugua tu ila hadi leo npo salama na nilikuja kuhakikishiwa anatumia dawa
Ulipima mara tatu kila baada ya miez mitatu?
 
Duuuu pole sana huenda yuko sahihi au anataka mfunge ndoa kwanza, kaa naye chini muongee kwa kina ili aweke mambo wazi zaidi.
 
Mbona unahangaika hivyo baharia Kama kweli ameoza mwambie akuoneshe vidonge na vyeti ili utumie kondom haachwi mtu kirahisi hivyo
 
Akuoneshe dawa zake

Mkumbushe kumeza dawa,ameze mbele yako ili uwe tomaso
Baada ya hapo utakuwa na uhakika ni kweli ama laah basi utaamua utakavyo
 
Huwezi pata mambukizii nishakuwa kwenye uhusiano na demu mwenye ngoma ila ukimpima yupo negative kwa miezi 3 nasugua tu ila hadi leo npo salama na nilikuja kuhakikishiwa anatumia dawa
Wee unajidanganya sana lol.
 
Inatokea mara nyingi tu; wanao kunywa ARV na kufata masharti mengine ya kidaktari wengi hua wanaosoma -ve but ukweli wapo +ve, be careful
 
I'm doing a simple pilot survey (questionnaire)
At ur free time may u participate by answering the questions.

It's a 2 minutes short Questionnaire form.

I would much Appreciate your participation.

Please share with your friends

 
Back
Top Bottom