Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

BOT inatoa leseni ya watoa huduma na taasisi zote za fedha nchini, hivyo kama BankABC wamekiuka huduma zao ni wazi kuwa leseni yao inaweza kufutwa.
Umenena vyema. Kwa ufupi BOT ni watch dog wa taasisi zote zinazo jihusisha na biashara za kifedha.
 
Akasome albadeer,akavunje chungu na kulaani kitendo hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…