Akishapokea hizo pesa azirejeshe tu kama malipo ya mkopo siku hiyo hiyo. Itakuwa haijaanza Riba.Nimepokea, taarifa usiku huu za rafiki yangu aliyepatwa na msiba mwishoni mwa mwaka jana na kuzika January mwaka huu.
Ni mtumishi wa serikalini kapatwa na msiba ghafla akaenda kukopa Bank ya ABC ili kumsaidia na masuala ya msiba, Tsh milioni 2 hiyo tarehe 29/12/2023.
Kaambiwa baada ya masaa 24 pesa itaingia ila hadi leo tarehe 8/01/2024 pesa hakuna na kwa taarifa ni kuwa, taarifa zake kwa mkuu wake wa kazi zimeishapita kasaini apewe mkopo ila kaambulia patupu hadi leo.
Msiba uliishaisha kwa msaada wa raia wema wakamkopesha akayamaliza huko kwao, sasa ndiyo naongea naye hapa anaomba ushauri jinsi ya kujitoa kwenye mkopo huu hewa .
Msaada kwa huyu ndugu kama ni wa kisheria ajitoe tu kwenye hili janga.
BOT mkoani?Duh kama masuala hayakukaa sawa aende benki aka cancel, sema sasa alisemaje wakati anakopa kama ni business watafirce auchukue maana sidhani kama kuna taasisi itakupa mkopo kwa kigezo cha msiba lazima tu upige fix mahali
Ikishindikana nenda BOT watakusaidia kukunasua, sijajua hakika kwa angle yako ila kuna mtu namfahamu alitapeliwa hela na mojawapo ya wakala wa taasisi za fedha, alivyoomba kurudishiwa akazungushwa mwishoni alienda BOT wakamsaidia
Unawaandikia barua ikifika wanai-file, pia wana namba zao za kufanya follow up, wana call centre kabisaBOT mkoani?
Msiba ulikuwa wa kakaake huko kwao.Msiba wa mzazi, mwenza au mtoto serikali/ofisi yake hugharamikia.
Ilikuwaje akakope au ni msiba usiotambulika ofisini kwake?
Au yuko local government?
Maana huko local government mambo yenu mnayajua wenyewe
BOT inatoa leseni ya watoa huduma na taasisi zote za fedha nchini, hivyo kama BankABC wamekiuka huduma zao ni wazi kuwa leseni yao inaweza kufutwa.Kivipi?
Amwandikie barua mwajiri ya kusitisha maombi ya mkopo au aongee na HR wake anacancel kijanja basi.Msiba ulikuwa wa kakaake huko kwao.