Msaada,amepotea

Msaada,amepotea

mtata mtatuzi

Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
44
Reaction score
10
Msichana amepotea,tetesi ni yupo matombo_morogoro. Tafadhali nahtaj kuwasiliana na mtu aliye matombo anisaidie kitu.
Pm tafadhali
 
Mpwa wangu Mtata hebu weka mambo sawa ututolee utata maana issue unayopngelea hapa ni very sensitive but you don't seem to be serious
 
serious anko.natafuta mtu aliye matombo kwanza,kama unamjua nisaidie tafadhali.let me spare other details kwa ajili hyo kwanza.
 
I predict, she must be a h/girl being fired by her BOSS. Jamaa anahaha kumtafta cos alizoea kumgegeda kiubwete!
Pole sana mpwa wangu!
 
Kama una uhakika yupo hapo matombo nenda ukamfate otherwise toa details zake vizuri mfano. Umri , rangi na nguo anazopenda kuvaa na ikibidi kabila . Ni maoni yangu tu.
 
Mtoto kapotea af unatangaza kibwege ----- namna hii.....hujajua kujieleza mkuu...??toa maelezo yenye kujitosheleza
 
Kuna kitu unaficha na kwa mtindo huo ni kupoteza muda tu, hatuwezi kutoa ushirikiano kwa mtu asiyetoa ushirikiano.
 
funguka amepotea mazingira gani, lini na muda gani? Kwa kuanzia ungetoa tarifa kituo cha polisi na vyombo vya habari. Jf hapa utapata msaada wa mawazo tu si rahic mtu kujiuisisha ktka jambo sensitive kama hili ukizingatia aliepotea/toroka ni mtoto wa kike
 
upphhh,nlificha details kwa 7bu maalum wandugu,ningefunguka zaid pm. ila am the boss,na nimefanya nnalotakiwa kufanya and evrthng z ok nw.
duh kuna watu mpo fasta kama mmezamia(tyta,kisima,babaV)!!
 
Back
Top Bottom