Mkuu mkopo wa heslb unaupataje bila kwenda chuo?
Amepata mkopo ila hatujakiona chuo alopangiwa_ukielewa maana ya hiki ulichokiandika kwenye heading yako ndio utaelewa pia maana ya mimi kukuletea pumba nilizokuandikia...Mkuu mkopo wa heslb unaupataje bila kwenda chuo?
Ndg heslb yupo kwa list lkn chuo alivoomba hajaonekana sasa ndo nauliza kuna namna ya kuweza kuangalia vyuo vyote kuweza kumuona au nn twaweza fanya... Au kuna uwezekano bod ikaallocate mkopo bila chuo?Amepata mkopo ila hatujakiona chuo alopangiwa_ukielewa maana ya hiki ulichokiandika kwenye heading yako ndio utaelewa pia maana ya mimi kukuletea pumba nilizokuandikia...
Ana perfomance nzuri CBG, ameomba chuo mwenge na UDOM mpaka sasa hatujaona chuo alichopangiwa. Je mtu anaweza pewa mkopo bila chuo? Ni njia ipi tunaweza tumia kujua chuo alichopangiwa? Vyuo hivyo alivyoomba tumeangalia hakuna. MSAADA TAFADHARI