Msaada: Ali-disco chuo na kujitoa kwa utaratibu ila kurejesha mkopo kashindwa, anaweza kupata chuo kwa kujisomesha?

Micha

New Member
Jul 11, 2022
1
0
Samahan Kama MTU ka disco chuo akafanya process zote za kujitoa kwa mfumo wa kutambulika kama mwanachuo ili aje aombe Tena maombi ya vyuo.

Kwa mfano alipewa mkopo anaambiwa arejeshe 25% je Kama ikatokea kashindwa kurejesha iyo percentage anaweza kuomba chuo akapata?

Na anaweza kujisomesha kwa ada yake? Naombeni ufafanuzi hapo.
 
Mwanafunzi aliekuwa discontinued anaweza kutuma maombi upya na kuchaguliwa endapo anasifa. Anapaswa kudownload re application form www.tcu.go.tz aijaze aiambatishe na barua yake ya Disco aliyopata chuoni kisha apeleke TCU.
 
wakuu kwe ile 25% ya mkopo kwa muombaji aliyewahi acha chuo na yenyewe inahitaji ukafanye deregistration huko bodi au ukipata control number tu unalipia unaendelea?
 
Back
Top Bottom