Msaada aliyewahi kunufaika na mkopo TSSF anisaidie

Msaada aliyewahi kunufaika na mkopo TSSF anisaidie

Joined
May 27, 2017
Posts
21
Reaction score
5
Salamu kwenu
Mimi ni mmoja wa waliokosa mkopo heslb
Naomba kuuliza kwa mnufaika yeyote WA mkopo toka heslb anijuze au anishauri niombe au laah
 
Kama ilivyo tofauti ya ada kati ya vyuo vya public na vya private basi na hapo ndo ivyo ivyo
 
ukikosa mkopo heslb usihangaike kuzunguka hapa Dar kumejaa utapeli wa hali ya juu
 
Huo mkopo ukipanga kuupata unaupata tu, but itategemea na maamuzi yako.
 
Waziri wa Elimu Mh. Ndalichako amewakana na kutahadharisha watakaotuma maombi huko serikali hatahusika na hawaitambui hiyo taasisi.
 
Me nimekopa tssf na nimekubaliwa kusajiliwa chuo na nishasajiliwa na hizi elimu zetu za afya ada mamilion mengi huko jaribu elfu salasini kuipoteza kwa kupata zaidi sio kesi af kutotanbuliwa na ndalichako kwan benki zinazokopesha zote hua zinamfata azitambue???
 
Waziri wa Elimu Mh. Ndalichako amewakana na kutahadharisha watakaotuma maombi huko serikali hatahusika na hawaitambui hiyo taasisi.
NDALICHAKO ndo anaetoa legal status ya trustees?
Acheni kushula,mnafeli sasa.
 
Mimi chuoni leo hii peupe wamenisajili kiroho safi,wenye Utomaso subirini A/C zetu zisome mtajua.
 
Me nimekopa tssf na nimekubaliwa kusajiliwa chuo na nishasajiliwa na hizi elimu zetu za afya ada mamilion mengi huko jaribu elfu salasini kuipoteza kwa kupata zaidi sio kesi af kutotanbuliwa na ndalichako kwan benki zinazokopesha zote hua zinamfata azitambue???
Bet.
 
NDALICHAKO ndo anaetoa legal status ya trustees?
Acheni kushula,mnafeli sasa.
Mimi nimesikia kwenye taarifa habari sasa povu la nini, sana sana unaweza kujitoa muhanga 30,000/=ukipata ok ukikosa unaugulia kimyakimya, hata sasa hivi japo heslb ipo kisheria kuna waliokosa na wanaugulia hivyohivyo.
 
Sijakutolea povu mkuu,sorry tho if disgusting.
 
Back
Top Bottom