LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 679
Anapofika G-spot akitokea wapi?Je mwanamke anapofikia G-spot huwa anajisikiaje na sehemu gani husisimka zaidi na kuhtaji iguswe zaidi tofauti na wanaume ambapo kichwa cha dushee huwasha na njia huyekenya kwa raha zaidi,sipati picha ingekuwa inachukua dakika yano kufanya ejaculation moja-watu wangekufa au wangepatwa na shock,sura zao zingekuwaje kwa aliyekufa wakati anatoa wazungu
Haya mambo ya kusikia neno tu na kulirukia, yatakupeleka pabaya!!! Yani unataka uonekane kwamba na wewe umo!!!!Anapokuwa anatoa wazungu
[emoji849]G-spot si ni kiharage/kisimi cha mwanamke?
Hujambo demi[emoji849]
SijamboHujambo demi
Mwanamke akiwa amelala chali, ingiza kidole inch kama 2 hadi 3 kwenye ukuta wa juu wa make utagusa nyama fulani hivi ina feel kama taulo. Hapo ndo penyewe.G-spot si ni kiharage/kisimi cha mwanamke?
Sema mvulanaSasa ndiyo G-spot..?
4G LTE njoo kipande hii mwanaume mwenzenu anawadhalilisha huku.
Unamaanisha tuwe wavumilivu Mkuu..??😂😂Haya yote yatatoweka shule zikifunguliwa kuanzia tarehe 7 January 2019
akikujibu unitag madame!Mwanamke anapofikia G spot.???
Kwani ulikuwa unataka kusemaje mkuu?
Muelimishe ulivyoelewa okoa ndoa yakeMwanamke anapofikia G spot.???
Kwani ulikuwa unataka kusemaje mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aibu naona mie
Mwanamke anapofikia G spot.???
Kwani ulikuwa unataka kusemaje mkuu?
Kanijibu hivi mkuuAnapokuwa anatoa wazungu
akikujibu unitag madame!
Mkuu upoNimeona mkuu