Msaada ...Ajira.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada ...Ajira..

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mkeshahoi, Feb 29, 2012.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau...
  Naomba kufahamishwa aina za ajira ambazo mhitimu wa shada ya Social Work aweza zifanya katika sekta tofauti na serikalini...
  Serikali inajua ila yafumbia macho umuhimu wa wataalam hawa na madhara tushayaona kuanzia ngazi za familia, mashulesi,vyuoni, na kwingine kwingi..
  Nchi zilizoendelea wanajua sana umuhimu wa wataalam hawa..
  Msaada tafadhali...
   
Loading...