MSAADA AJIRA PORTAL

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,117
5,050
Wakuu,nimejiunga na Ajira Portal hivi karibuni.
Nimejaza taarifa zangu zote,lakini nikiangalia kwenye dashboard inaonesha profile yangu imekamilika kwa asilimia 54 tu.
Nashindwa kuomba kazi kwasababu system inaruhusu kuomba kazi kama profile yako imefikia angalau asilimia 70.
Kwa wazoefu wa huu mfumo wa uombaji ajira,wapi nakosea?
 
Umeupload vyeti vyote vinavyohitajika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mkuu George Betram ulifanikiwa kupandisha hiyo asilimia? Maana na mimi nimekutana na hiyo changamoto ya asilimia 54!
Wakuu,nimejiunga na Ajira Portal hivi karibuni.
Nimejaza taarifa zangu zote,lakini nikiangalia kwenye dashboard inaonesha profile yangu imekamilika kwa asilimia 54 tu.
Nashindwa kuomba kazi kwasababu system inaruhusu kuomba kazi kama profile yako imefikia angalau asilimia 70.
Kwa wazoefu wa huu mfumo wa uombaji ajira,wapi nakosea?
 
Vipi mkuu George Betram ulifanikiwa kupandisha hiyo asilimia? Maana na mimi nimekutana na hiyo changamoto ya asilimia 54!
Jaribu kujaza kila eneo bila kuacha chochote itajaa tu vizuri.. Hata picha ikibidi uweke.. Mimi kwangu ilijaa faster tu hadi 79% siku hio hio najazs
 
Yaan hapa nimeweka kila kitu, hadi nahisi labda ni kwasababu natumia simu! Hadi nimechoka kwakweli!
 
Shukran mkuu, ngoja kesho nihamie kwenye pc. Maana mwaka wa jana nilitumia pc ilijaa fasta. Ngoja nipumzike, Hapa niko hoi.
Jaribu kutumia pc utaona vizuri... Simu mimi ilinisimbua hata kujaza basic info nikahamia Kwenye pc
 
Wakuu mm ndio kwanza naanza kujiunga kwenye hiyo ajira portal. Nimeweka email pale na pasword nikabonyeza 'register' naambiwa ntatumiwa email ila tatizo sasa mpk ss email siioni, kifupi haijatumwa asa sijui tatizo ni nini. Kuna ambaye amewahi kuexperience tatizo kama hili
 
Kaangalie kwenye SPAM au IMPORTANT utaikuta hapo email.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom