mpo eneo gan? Manake population hasa maeneo ya vyuo huwa kubwa mpaka net inakua slow
cheki pia access point yako manake wap si nzuri kutumia kwenye application kama opera manake si access point tumia airtel internet kuipata andika all kwenda 232 utapata wap,mms na internet
swala la kudownload nakushauri tumia download manager kama ucweb amabayo ina uwezo wa kudownload application zote hadi jar. Idownload hapa
Download UC product - UC Mobile Ltd.[/u
my area.