Nilikua naomba kujua km kuna mtu anapata 3g kwa mtandao wa airtel ktk iphone4. Nimekwenda airtel several times wanafanya settings zao wananiambia niondoke baada ya nusu saa itakua tayari lkn bado ni edge tu.
jaribu kubadisha line, nimeshakutana. na watu 2 line zao hazikuli 3g connection.tatizo lao lilisha baada ya kununua sim card nyengine.inaonekana airtel baadhi ya sim card zao zinatatizo hilo.nadhani tatizo siyo simu.
Thanks a lot lkn napiga hiyo nr kuna mdada anatoa options ambazo hata ukichagua hazifanyi kazi..airtel in poor customer care..labda nitaenda mcity kwan jm mall ndo walijaribu bila mm kuona mafanikio
Sure customer care hawajui ktu mfano kuna dem walishndwa kuconect simu yake e71 kwenye internet wakamwambia ina viruses wakati kumbe ilihitaji access point tu
Sure customer care hawajui ktu mfano kuna dem walishndwa kuconect simu yake e71 kwenye internet wakamwambia ina viruses wakati kumbe ilihitaji access point tu
Hawa jamaa ni bure kabisa. Nina zaidi ya siku kumi sipati 3G kila nikiwaona napata maelekezo tofauti ila yote hayatatui tatizo langu. Natumia simu yangu kama modem kwenye laptop. Ovyooo
Naweza kupata msaada wa maelekezo jinsi ya kuinstall internet ya airtel ktk iphone4..nataka ni restore simu ktk factory setting ila nina wasi na jinsi ya kuweka net