Sishauri HP sizipendi, wi-fi hazishiki, nimetumia mbili tatu hivi, zote ukiturn on wi-fi hazikubali, nime-google naona hilo ni tatizo la wengi mtandaoni pia.
Inategemea kwa kazi gani .lakini best niloona ni lanovo. Nilikuwa na weka ina download movies kwa week nzima iko on inafanya kazi .lanovo zamani ilikuwa inaitwa IBM ya merekani wakainunua wachina
Nakushauri HP naamini ndo PC bora Japo mi ni mtumiaji mkubwa wa dell..Nimefanya kazi na Toshiba pia nikagundua zina upungufu kwenye uwezo wa processor maana zinazimika nikifanyia data recovery kwa Wateja waliopoteza data nyingi