Msaada: afanyeje ili aweze kuendelea na kidato cha tano na sita?

Mpeleke Private tu GVt nafasi zimejaa ndo Maan Akapangiwa Chuo
Mpeleke chuo Akasomee ndoto zake tu
 
Weka matokeo yake yote Kwa Kila somo unaweza pata mawazo bora zaidi kutokana na marks zake kuliko ayo ya kwenda advance
 
Back
Top Bottom