tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,190
- 29,748
Jamani watoto wa siku hizi Kwa kuchukulia mambo easy, amesoma PCB akafaulu 1.8 Yani
P-C
C-B
B-C
Alitaka soma medicine, pharmacy au nursing.Sasa alijaza kozi hizo akachanganya na zingine zisizoeleweka.Bahati mbaya akachaguliwa veterinary SUA.
Sasa haitaki hiyo,msaada afanyeje pengine ili asome hizo kozi azitakazo?Au ndo basi tena asubiri mwakani?