Mkuu kama ni hivyo,utakesha. Kuattach file la ukubwa wake humu mara nyingi inasumbua. Usingekuwa mvivu kutafuta ungeishaipata tayari. Kwanza kuna link imewekwa humu kama siku tatu zilizopita,unadownload kirahisi kabisa na inafanya kazi vizuri sana.
Jitahidi usiwe mvivu ndugu yangu,sababu uliyoitoa hakuna mtu atakubaliana nayo kiukweli.
Mi mwenyewe nakubaliana na wewe kuwa huyu jamaa ni mvivu vinginevyo angeshaipakua kitambo maana humu tunakimbilia msaada kwa vitu ambavyo ni adimu kuvipata kirahisi
Mi mwenyewe nakubaliana na wewe kuwa huyu jamaa ni mvivu vinginevyo angeshaipakua kitambo maana humu tunakimbilia msaada kwa vitu ambavyo ni adimu kuvipata kirahisi