Kuna ka logo nimedesign kwa corel draw X6. Imetokea na background nyeupe nami nilikuwa naitaji iwe na transparent background ili iwe multipurpose katika docs zenye rangi mbalimbali.
Jee corel draw inaweza fanya hili.? How.? Msaada tutani wadau.