unatumia simu gani?Account ya WhatsApp inakataa kuweka profile photo, inaandika couldn't load try again ukijaribu inaandika hivyo hivyo, network ipo 3g na ipo vizuri kabisa, nimewahi kuuninstall na kuinstall tena lakin ikakataa vile vile kama mwamzo, you tube inaenda vizuri kabisa kifupi hakuna shida ya network , msaada wataalamu shida nini hapa??
Hilo ndilo tatizo kuu, kuna jamaa yangu ana Tecno akiamka asubuhi anakuta Facebook Messenger haipo akizima simu tu na yenyewe inaondoka.Tecno mkuu
Ok.. ngija nijarbu, gb WhatsApp ipo but nayo vilevile.. ukitaka kuclear data zote WhatsApp unaenda wapi??fanya kujaribu kuweka picha nyingine yenye size ya normal hata yenye high sawa ila lower inakata na ikigoma kabisa clear data zote za whatssap then start upya kuingia na ikigoma hapo badilisha uweke gb whatssap
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Setting>application >Ok.. ngija nijarbu, gb WhatsApp ipo but nayo vilevile.. ukitaka kuclear data zote WhatsApp unaenda wapi??
utafungua whatssap> storage dataOk.. ngija nijarbu, gb WhatsApp ipo but nayo vilevile.. ukitaka kuclear data zote WhatsApp unaenda wapi??
Nimefuata haya maelezo lakin wapi, bado tu mkuuSetting>application >
fuata mwongozo wa hizi picha [emoji116]
utafungua whatssap> storage dataView attachment 623300View attachment 623301haya utabonyeza clear cache na data