Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
Wakuu hali zenu,
Hivi A-town, kuna ISP gani ambaye ana nguvu? meaning that connection yake inaweza kutegemewa na yenye spidi nzuri.
For the meantime, kuna kampuni tunaitumia inaitwa Arusha Art Limited.
Connection
Lakini sipati ladha kamili (direct download sipati more than 200 kb/s), na kwa torrents sipati more than 400 kb/s.
kwa mujibu wa speedtest.net, download speed ni 0.21Mb/s while upload ni 0.07Mb/s
mara ya pili download 0.16Mb/s while upload ni 0.21Mb/s, na mara ya tatu imenipa 0.19Mb/s kwa 0.18Mb/s
Malipo
Tunalipa 150$ kwa mwezi, na hii ni kwa miezi mitatu mitatu, 450$ ongeza na VAT.
Hivi kuna better option ama this is what Arusha has to offer.
Hii ndo Radio yao.
View attachment 62748
Natanguliza shukran.
nimeangalia bei za isp wako dola 800 ndo unapata 1mbps si bora na we uwe isp
kwa dola 150 unaweza ukawa na alternative hizi
Nduki gold- 200,000 speed 2mbps per second
pia unaweza fanya alternative ya hii mitandao yetu kwa kuchukua vifurushi kama tigo max, vodacom speed vinaweza kupa speed kubwa
Me sikai arusha ila kwa hiyo speed na bei, mh mnaibiwa asee
mkuu shukran. Hv hiyo broadband ni unlimited? Na kwa small office km watu 15. Inaweza kutubeba bila shida? Especially when 3 of 15 ni download maniacs.Cost yao ikoje?Nenda ttcl upate broadband yao. Ni chiboko kweli kweli! kwingine utabaki na maumivu ya kulia lia kila siku
mkuu shukran. Hv hiyo broadband ni unlimited? Na kwa small office km watu 15. Inaweza kutubeba bila shida? Especially when 3 of 15 ni download maniacs.Cost yao ikoje?
Sina hakika vizuri na bei zao zote ila mimi nina subscribe bundle ya 2gb monthly kwa sh. 30,000 na kwa kweli ni uamuzi wa mtu kununua sawasawa na matumizi yako mwenyewe.
Kwa unlimited bundle nimesikia wengi wakilalamikia speed yake kwa hiyo siwezi kuisemea lolote. Lakini kama kaofisi ni kakubwa chukueni kabundle ka kama 20gb hivi. Mtakula maraha wenzetu.
Nakushauri tembelea ofisi zao wakupe maelekezo zaidi! Good luck