GAS STATE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,769
- 960
Asalam wanataaluma
nina pata maumivu makali ya misuli ya sehemu za mwili zifuatazo
i> mikono- mikono inauma hata nashindwa kunyanyua ndoo ya maji kidume mwenye ndevu zangu. kwa mfano nikirusha ngumi misuli inauma hatari. hali hudumu kwa muda wa wiki moja then hupotea na hurejea baada ya mwezi mmoja.
ii> miguu- hujitokeza mara chache na hudumu kwa siku mbili hadi tatu then hupotea, hurudi tena baada ya mwezi au miezi 2. juu ya hilo naweza amka asubuhi na kukutana na maumivu ya goti pamoja na manundu katika ugoko. ikumbukwe nimelala comfortably bila maumivu yoyote lakini naamka na hayo ndugu zangu.
iii> kifua, mabega,mbavu na mgongo kwa wakati mmoja-
hapa ndio pananiumiza zaidi ndugu napata maumivu ya kifua pasipo kikohozi hata nikimeza tonge naskia maumivu, nikilalia kifua ndio balaa tupu.
mbavu za pande zote kulia na kushoto hata ukizishiika tu zinauma nyoko.
mgongo nao ni sehemu ileile usawa wa kifua ndio unaouma kwa maana juu.
KULALA SASA
kila upande ninaolalia napata maumivu makali kokote nakolalia maumivu matupu kifupi SILALI/SIPATI USINGIZI kwa sababu ya maumivu makali tangu JUNE mwaka huu.
VIPIMO
nilienda TEMEKE hospital nikakutwa na blood infection nikapewa dawa nikameza but bado tu naumia.
JE ni dalili ya nini hii-funguka kitaalamu tu
Kuna any dr bingwa wa mambo haya unamjuwa
nipeni ushauri on hili
AHSANTE