Antachable_kid Member Joined Jun 20, 2012 Posts 94 Reaction score 40 Mar 12, 2013 #1 Kuna mwenye ujanja wakuifanya modem ya tigo ku accses 4g halafu na kuna anaejua kuifanya modem yangu ya tigo itumie internet free kwa maujanja
Kuna mwenye ujanja wakuifanya modem ya tigo ku accses 4g halafu na kuna anaejua kuifanya modem yangu ya tigo itumie internet free kwa maujanja
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 Mar 12, 2013 #2 kila la kheri mkuu
nash2010 JF-Expert Member Joined Jun 18, 2010 Posts 624 Reaction score 216 Mar 12, 2013 #3 sidhani kama modem iliyotengenezwa kwa ajili ya 3G ina weza ku access 4G internet unaweza kupata ya bei nafuu. ya bure labda uanzishe mtandao wako mwenyewe.
sidhani kama modem iliyotengenezwa kwa ajili ya 3G ina weza ku access 4G internet unaweza kupata ya bei nafuu. ya bure labda uanzishe mtandao wako mwenyewe.