S sugi JF-Expert Member Feb 12, 2011 1,392 293 Sep 16, 2012 #1 great thinkers laptop yangu,dell inspiron,window 7,ina shida,hapo mwanzo nilikuwa na play dvd na cd,lakini sasa ukiweka dvd haiitambui(mlango wa cd unafunguka dvd inatoka) ila vcd,cd inaplay kama kawaida,nifanye nn kutatua tatizo hili??
great thinkers laptop yangu,dell inspiron,window 7,ina shida,hapo mwanzo nilikuwa na play dvd na cd,lakini sasa ukiweka dvd haiitambui(mlango wa cd unafunguka dvd inatoka) ila vcd,cd inaplay kama kawaida,nifanye nn kutatua tatizo hili??