wadau naomba kuuliza nitawezaje kuzuia email msgs za facebook ninaztumiwa inboz zisilete email kwenye email ya yahoo? na kama nikitaka kurudisha pia nafanyaje
msaada wenu wana JF

Ingia facebook yako halafu ingia Setting halafu ingia Notification halfu chagua Only notifications about your account, security and
privacy then ur done!