Nimepigiwa simu na watu wa recruitment service wapo mwenge karibu na sheli moja vipi.Eti wameniambia nipeleke cv zangu jumatatu.Najiuliza wameipata wapi namba yangu?wanataka kuniuliza nini?maana mimi sijawahi hata kuomba kazi kwao?hawajaniambia nimeomba post gani na katika kampuni gani?Sio matapeli kweli?Msaada wajemeni
Duh magamba bwana mawazo yao yani ni huku tuu!!!!!!Ujipange lazima ubebe silaha
Wapigie uwaulize. kama haupo comfortable usiendi. Ila kumbuka, kama ulitoa CV kwa recruitment service nyingine, huwa wanashare details zako, unless specified otherwise.Nimepigiwa simu na watu wa recruitment service wapo mwenge karibu na sheli moja vipi.Eti wameniambia nipeleke cv zangu jumatatu.Najiuliza wameipata wapi namba yangu?wanataka kuniuliza nini?maana mimi sijawahi hata kuomba kazi kwao?hawajaniambia nimeomba post gani na katika kampuni gani?Sio matapeli kweli?Msaada wajemeni