Naombeni msaada wenu wanajf ni kweli kwamba kwa mwanamke/mwanaume kuanzia 28yrs ni ngumu sana kuanzisha mahusiano mapya na mtu mpya maana inakuwa kama kurisk muda wake?
Babu!
BT, Yuko sahihi na anakiamini anachokisema!
Sanasana kakuumbua, tatizo liko kwako huyu ni mfano wa wale uliowakagua ukiwa una uko bwaksi !
Hivyo punguza ulabu wakati wa makaguzi ! That's why unashindwa ku'recognize their age.