Wadau natafuta Amp ya kutembezea picha kwenye cable ambayo inaweza tembeza hata 5km
Natanguliza shukrani.
Ndio kaka niko Tarime
Wateja unao wa kutosha? kuna wazo tunaweza kushirikiana kufanya katika network yako. Btw, unatakiwa uwe na signal booster kila baada ya umbali flani ili kuimarisha signal yako. "Amplifier" unayoisema haiwezi kukusaidia sana kama una wateja wengi.
Ndio kaka niko Tarime
kwa tarime kupata issue, dar huku zimejaa sana