Ronzobe B29
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 242
- 90
Natumain mu wazima wa afya kuna mtu nilikua nimemuachia laptop yangu kumbe hajui kuizima na wakati nilipoenda kuichukua nimekutana na tatizo hili BLUE SCREEN
Kwa anayejua naomba msaada tafadhali
Natumia windows 8
Kwa anayejua naomba msaada tafadhali
Natumia windows 8