Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,650
Kichwa kinajieleza natanguliza shukrani
...sijakosea mkuu,nimejibu swali![]()
![]()
duh mwangu we kauzi kinyama
Kutokea mwenge unaifuata bagamoyoroad mpaka Boko njiapanda y'a mbweni then unaingia kushoto barabara ya mbweni mpaka mwisho WA Lami ilipo hospitali.Ni km 6 from bagamoyoroad. Inaitwa St. Joseph hosptalKichwa kinajieleza natanguliza shukrani
...???Kutokea mwenge ... then unaingia kushoto
Shukran sana mkuuKutokea mwenge unaifuata bagamoyoroad mpaka Boko njiapanda y'a mbweni then unaingia kushoto barabara ya mbweni mpaka mwisho WA Lami ilipo hospitali.Ni km 6 from bagamoyoroad. Inaitwa St. Joseph hosptal