Msaaa: Utaratibu wa kumuhamisha mwanafunzi kidato cha tano

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,163
11,483
Naomba anayejua utaratibu wa kumuhamisha mwanafunzi aliyechaguliwa kuingia kidato cha tano PCM katika shule za bweni za serikali kutoka (mikoani) kumpeleka shule ya kutwa (day) hapa Dar es Salaam.
 
Kama haja report nenda kwa afisa elimu mkoa,anamuhamisha chap tu
 
Kama haja report nenda kwa afisa elimu mkoa,anamuhamisha chap tu
Kwahiyo nipange safari mpaka Arusha kwa Afisa elimu mkoa wa Arusha kufanya utaratibu wa kumuhamisha au niende kwa afisa elimu wa hapa Dar es Salaam ninakotaka aamie?
 
Back
Top Bottom