Amina 🙏 Mwenyezi Mungu akawe ngao yake, tunamuombea sana mrembo Leejay49 kwa hii changamoto anayopitia. Naimani Mwenyezi Mungu, atasikia maombi yetu. Na atarudi na nguvu mpya na Imani zaidi.
Jamani Ahsante kipenzi Madame B nakupenda pia sana. Toka miaka ile ya jukwaa la wakubwa. Mungu ni mwema, tuko mpaka leo. Na Leejay49 tunamuombea sana. Tuko pamoja kipenzi changu 🥰🥰🥰🥰🥰
Mungu ni roho nae huchunguza mioyo. Kama mtu ameandika hapa kumwombea lee jay apone haraka kwa moyo wa dhati basi Mungu aonaye rohon hujibu maombi ya huyo mwenye moyo safi. Natumaini umenielewa.
Jamani Ahsante kipenzi Madame B nakupenda pia sana. Toka miaka ile ya jukwaa la wakubwa. Mungu ni mwema, tuko mpaka leo. Na Leejay49 tunamuombea sana. Tuko pamoja kipenzi changu 🥰🥰🥰🥰🥰
Kwa anaejua atupe update ya hali ya our beloved lee jay. Mungu azidi kumbariki mbaraka wa afya awe mzima. Tunayo shauku ya kusikia kutoka kwake akimshukuru Mungu kwa uponyaji naahidi kukuombea dada lee jay