Kwakweli haikua rahisi sana kama nilivyokua nadhani,. Lakini naamini kwa uwezo wa Mungu na kwa maombi yenu lilipita salama,. Na ninaendelea vizuri kabisa,.
Ni upendo wa ajabu,. Maana sikua natarajia kama kuna wengine wangekuja kunitembelea Hospitali na Kuja kuniona nyumbani lakini walifika,,. Asante na wengine pia mliokua mnanipigia simu kunijulia hali kila siku,. Hakika nilijiskia kufarijika sana sana sana
Mwenyezi Mungu awalinde wote,. Na awabariki kwa upendo wenuβ€οΈπ