unatumia version gani ya ms office? Kuna version ya office nadhani
2003 ilikuwa ina templetaes za mambo mengi. Lakini version baada ya 2003 inabidi uzifuate templete kwenye
website ya microsoft.
tembelea link hii
invoices - templates - microsoft office
unawezza kudownload template kama proforma invoice, auto invoive update, basic invoive, invoice auto calculation , etc.
Otherwise always make
google your best friend.